DarkyMpekuzi
Kwa Wale wa kuperuzi na Kudadisi Mpango huo Blog hiyo ya kupata manews na mipango kibao ya town kazi kwako tu msomaji uschoke kupitia blog hii mara kwa mara kwasababu haitakuchosha!!
Jumatatu, 9 Juni 2014
Kikwete naye yumo
Rais Jakaya Mrisho kikwete amehudhuria kwenye maziko ya mtu wetu wanguvu Mzee Small
Jumapili, 8 Juni 2014
BONGO MOVIE KULIKONI?
Msanii mkongwe wa vichekesho Mzee Small amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya taifa muhimbili taratibu za mazishi kupangwa nyumbani kwake tabata mawenzi
Jina la bwana lihimidiwe
Ijumaa, 30 Mei 2014
Vizuri kwisha
Nilipata hii habari mda kidogo lakini nimeogopa kusema kwakua sikua na uakika na nilichokisikia kua ndugu yetu George Tyson mtayarishaji na Director wa bongo movie amefariki huku kilicho sababisha ni ajali iliyo tokea huko morogoro mungu amlaze mahali pema peponi Amen.
Alhamisi, 29 Mei 2014
Rooney nae Yumo
Mshambuliaji wa Timu ya taifa ya England Wayne Rooney amesema kuwa anapenda sana mziki na pia ataupa kipaumbele wimbo wa drunk in love wa beyonce na J-zee
Nakusema kuwa anaizimia sana hiyo ngoma
Jumatano, 28 Mei 2014
Man U Msiba Mkubwa
Mmiliki wa timu ya man united malcom glazer amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85 Malcom Aliinunua team hiyo kwa pesa trilioni 2.2 za kikwetukwetu ila alifurahi kuona team hiyo ikipata mafanikio makubwa na kuchukua vikombe mbali mbali
R I P Malcom Glazer