Jumatatu, 9 Juni 2014

Kikwete naye yumo

Rais Jakaya Mrisho kikwete amehudhuria kwenye maziko ya mtu wetu wanguvu Mzee Small

Bye BYE MZEE SMALL

Mazishi ya marehemu mzee small kufanyika leo saa 10 jioni
Jina la bwana lihimidiwe

Jumapili, 8 Juni 2014

BONGO MOVIE KULIKONI?

Msanii mkongwe wa vichekesho Mzee Small amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya taifa muhimbili taratibu za mazishi kupangwa nyumbani kwake tabata mawenzi
Jina la bwana lihimidiwe

Ijumaa, 30 Mei 2014

Vizuri kwisha

Nilipata hii habari mda kidogo lakini nimeogopa kusema kwakua sikua na uakika na nilichokisikia kua ndugu yetu George Tyson mtayarishaji na Director wa bongo movie amefariki huku kilicho sababisha ni ajali iliyo tokea huko morogoro mungu amlaze mahali pema peponi Amen.

Alhamisi, 29 Mei 2014

Rooney nae Yumo

Mshambuliaji wa Timu ya taifa ya England Wayne Rooney amesema kuwa anapenda sana mziki na pia ataupa kipaumbele wimbo wa drunk in love wa beyonce na J-zee
Nakusema kuwa anaizimia sana hiyo ngoma

Jumatano, 28 Mei 2014

Man U Msiba Mkubwa

Mmiliki wa timu ya man united malcom glazer amefariki dunia  akiwa na  umri wa miaka 85 Malcom Aliinunua team hiyo kwa pesa trilioni  2.2 za kikwetukwetu ila alifurahi kuona team hiyo ikipata mafanikio makubwa na  kuchukua vikombe mbali mbali
R  I P Malcom Glazer

Magese balaa!!

Mwanamitindo na pia aliekua miss Tanzania  Millen Happiness Magese amewaza kufungua Hospital kwa ajili ya matatizo ya akina mama
Mungu akutie nguvu katika harakati zako

Viumbe Vingine Ni shida!!

MAAJABU YA DUNIA : KIUMBE HUYU MWENYE UREFU WA FUTI 14 AVULIWA HUKO FLORIDA, ANAUZITO WA AJABU.. TAZAMA HAPA


A Florida fisherman has caught an enormous 14-foot deep-sea creature so old it has barnacles on it.
The 800-pound rarely-seen beast was caught in the waters off Miami Beach and the fish was so rare it was like ‘a dinosaur’.
Captain Mark Quartiano, a charter boat operator who also goes by ‘Mark the Shark’, posted a picture of the Dactylobatus clarkii, a deep sea species also referred to as ‘hookskate’ or ‘fingerskate’, in an Instagram photo he posted over the weekend.


Catch of a lifetime: The 800-pound rarely-seen stingray-like skate fish was caught in the waters off Miami Beach. The fishermen said it was so rare it was like 'a dinosaur'
Catch of a lifetime: The 800-pound rarely-seen stingray-like skate fish was caught in the waters off Miami Beach. The fishermen said it was so rare it was like 'a dinosaur'

Ancient animal: The skate fish, which lives in muddy waters as deep as 1,000 feet, was so old it had barnacles all over it, say the fishermen who caught it
Ancient animal: The skate fish, which lives in muddy waters as deep as 1,000 feet, was so old it had barnacles all over it, say the fishermen who caught it

The monster inhabits muddy sea depths of up to 1,000 feet – this one was caught in waters of about 500 feet deep, Quartiano said.
‘I’ve caught one like it before, but never that size, not in the last 30 years I’ve been doing this,’ Quartiano told ABC News. ‘It’s a very rare fish. It’s like a big gigantic whipping stingray. It’s a dinosaur.’


'Very rare': Captain Mark 'Mark the Shark' Quartiano, a charter boat operator, said he's never caught a skate fish that size before in the 30 years he's been fishing
'Very rare': Captain Mark 'Mark the Shark' Quartiano, a charter boat operator, said he's never caught a skate fish that size before in the 30 years he's been fishing

Mysterious: Not much is known about the deep-sea creature other than that it inhabits muddy sea depths of up to 1,000 feet
Mysterious: Not much is known about the deep-sea creature other than that it inhabits muddy sea depths of up to 1,000 feet



Mega monster: An 18-foot oarfish was discovered by a woman snorkelling off the coast of Catalina Island, California, on October 13. It took 16 people to drag it ashore
Mega monster: An 18-foot oarfish was discovered by a woman snorkelling off the coast of Catalina Island, California, on October 13. It took 16 people to drag it ashore

Earthquake warning? The two oarfish sightings prompted fears that an earthquake was coming as the bottom-dwelling fish are more sensitive to seismic shifts, according to scientists
Earthquake warning? The two oarfish sightings prompted fears that an earthquake was coming as the bottom-dwelling fish are more sensitive to seismic shifts, according to scientists
DAILY MAIL

Niki wa Pili kateka bunge

Msanii kutoka weusi anaefanya vizuri katika tasnia ya mziki bongo amesifa na wabunge baada ya kuachia ngoma yake ya sitaki kazi na kusema kuwa anazidi kuhimiza vijana kujiajili na kuondokana na umasikini .

Nao Wamo!!

Mastaa wa bongo flavor wenye mvuto zaidi kwa akina dada imeonekana ni;
Mr Blue
Hemed phd
Diamond
Juma jux
Ally kiba
Hao ndo wameshika chat katika upekuzi wa leo

Jumanne, 27 Mei 2014

Ngwea Miaka Buku hatosaulika

Ni mwaka mmoja  sasa  toka ulipo tutoka mwasisi wa mziki wa bongo flavor  Mangwea waTanzania wanakukumbukw na kuombea upumzike kwa amani amen.

Kova kuongeza ulinzi mitaani

Kova amesisitizwa kuongeza ulinzi katika maeneo ya buguruni na ilala kutokana na kuwa na vibaka wengi awali jeshi la polisi lilishikilia vibika kadhaa lakini wananchi wameomba kuimarishwe zaidi.

Handsome boy

Yupi uzawadiwe hapo awe mmeo??

Ni Chome Nisichome??

Hii inawausu kinoma noma maplayer na wapenda mapenzi kwasababu mapenzi huleta mawazo na mawazo ni kujipa ugonjwa wa moyo poleni wote mlio chomwa na mwiba huu wa mapenzi (ni mtazamo tu)

David Luiz ni Shidaa

BEKI, Mbrazili David Luiz, anasema kwamba anaondoka Chelsea akiwa na masikitiko makubwa. Staa huyo amefuzu vipimo vya afya na kufikia makubaliano binafsi na klabu ya Paris Saint-Germain kwenye uhamisho wake uliowagharimu mabingwa hao wa Ufaransa Pauni 50 milioni.
Uhamisho huo unamfanya Luiz kuwa beki ghali zaidi duniani na kuvunja rekodi za mabeki wengine kadhaa waliowahi kuhamishwa kwa pesa nyingi kwenye mchezo huo wa soka.
Ilichokifanya PSG ni kama Real Madrid ilipovunja rekodi ya Cristiano Ronaldo ya Pauni 80 milioni kwa kumnunua Gareth Bale kwa Pauni 86 milioni baada ya mabeki waliokuwa wakishikilia rekodi ya kuwa ghali duniani ni Marquinhos na Thiago Silva.
Luiz apandiwa ndege
Baada ya Chelsea kukubali kufanya biashara na PSG, mabosi wa klabu hiyo tajiri ya Ufaransa iliwapandisha ndege wawakilishi wake nchini Brazil kwenda kumpima afya Luiz ili kukabilisha dili hilo.
Tukio hilo hilo lilifanyika Ijumaa iliyopita wakati Luiz alipokuwa kwenye kambi ya timu ya taifa ya Brazil inayojiandaa na fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kwenye ardhi ya nchi hiyo kuanzia mwezi ujao.
Baada ya klabu ya Chelsea kuthibitisha kupitia kwenye tovuti yake kwamba imemuuza Luiz, staa huyo Mbrazil alifichua kuumia kwa uhamisho huo kwa sababu aliishi Stamford Bridge kwa karibu miaka minne na amezoea sana mahali hapo.
“Nawashukuru Chelsea kwa kipindi chote za miaka mitatu na nusu niliyokaa mahali hapo. Nimepata ushirikiano mkubwa sana.
Nawashukuru wachezaji wenzangu, mabosi na mashabiki. Naondoka kwa huzuni kubwa, lakini pia nafurahia changamoto hii kwa kujiunga na klabu kubwa na inayojaribu kujipanga zaidi,” alisema.
PSG inaamini kwamba imemnasa moja ya mabeki wa maana sana duniani na kwamba itaendelea kutumia pesa kusajili wakali wengine baada ya fainali za Kombe la Dunia.
Mabeki wengine ghali
Uhamisho wa Luiz unavunja rekodi za uhamisho ghali wa mabeki wengi sana na kwenye orodha hiyo wamo, Thiago Silva aliyehama AC Milan kwenda PSG kwa Pauni 35.3 milioni, Marquinhos (Roma kwenda PSG) kwa pauni 30.1 milioni.

Pumzika kwa Amani

Usilolijua kuhusu jina lako

JINA LAKO LINAANZIA NA HERUFI GANI?FAHAMU MAANA YAKE APA .YAPO FROM A-Z!
TATHMINI YA MAJINA KUTOKANA NA HERUFI ZA MWANZO ZA MAJINA HAYO

HERUFI A
Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira.

HERUFI B
wenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anap
otaka kulinda vilivyo katika himaya yake.

HERUFI C
Mwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu wa kukubadilika badilika, mshindani na hupenda kupigania malengo yao wanayopenda. Ni watu wa wabunifu na wanaopenda mawasiliano.

HERUFI D
Mwenye jina linaloanziana na herufi D ni mtu anayependa usawa, Biashara. Ni watu wanaopenda kuamrisha na mwenye kupenda usafi. Ni jeuri na wenye msimamo.

HERUFI E
Mwenye jina linaloanzia na herufi E ni mtu mwenye roho nzuri ,yenye mapenzi na huruma. mwenye kupenda uhuru katika mapenzi na mchangamfu. Kinyume na hivyo atakuwa ni mtu asiotegemewa na kigeugeu.

HERUFI F
Mwenye jina linaloanzia na herufi F ni mtu mwenye mapenzi,huruma , roho nzuri na ana uwezo wa kuwafariji watu. Ni mtetezi wa watu na mwenye huzuni lakini ni mzito wa kufanya maamuzi.

HERUFI G
Mwenye jina linaloanzia na herufi G ni mtu mwenye mwenye imani ya kidini na nguvu za kiroho. Ana kipaji cha kubuni na uwezo wa kutatua matatizo ya watu. ni mtu mwenye hisia kali,msomi, mpweke na mkaidi wa kukubali ushauri wa kutoka kwa watu.

HERUFI H
Mwenye jina linaloanzia na herufi H ni mtu mwenye ubunifu na nguvu katika biashara, hupata faida kubwa kutokana na jitihada na bidii zake. ni mwenye mawazo mengi, mchoyo na mbinafsi.

HERUFI I
Mwenye jina linaloanzia na herufi I ni mtu mwenye kupenda sheria, ana huruma na utu. Wakati mwingi hajiamini na ni mwenye hasira za haraka.

HERUFI J
Mwenye jina linaloanzia na herufi J ni mtu mwenye matamanio,mkweli, mkarimu na muerevu. asiyekubali kushindwa na hupata mafanikio makubwa. Wakati mwingine anakuwa ni mtu mvivu na aliyekosa mwelekeo.

HERUFI K
Mwenye jina linaloanzia na herufi K ni mtu mwenye jeuri. mwenye msimamo thabiti,mashuhuri na mwenye uwezo wa kushawishi na kuamsha hisia za watu wana uwezo wa utambuzi ambao watu wengi hawana. ni mtu asioridhika na hali ya kimaisha.

HERUFI L
Mwenye jina linaloanzia na herufi L ni mtu wa vitendo, mwenye hisani na aliyejipanga vizuri kimaisha. Huwa wanapata ajali mara kwa mara.

HERUFI M
Mwenye jina linaloanzia na herufi M ni mtu mwenye kujiamini sana, mchapakazi na hupata mafanikio. ni mtu mropokaji,mwenye haraka na mwepesi kukasirika.

HERUFI N
Mwenye jina linaloanzia na herufi N ni mtu mwenye ubunifu, hisia kali na hupenda kuwasiliana lakini ana wivu sana.

HERUFI O
Mwenye jina linaloanzia na herufi O ni mtu mwenye subra, mvumilivu na mwenye bidii ya kusoma. Ni mtu mwenye kupenda kutumikia jamii na mwenye uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia.

HERUFI P
Mwenye jina linaloanzia na herufi P ni mtu mwenye uwezo wa kuamrisha na hekima kubwa. Ana nguvu za kiroho lakini anapenda sana kujitumbukiza kwenye mambo ya watu.

HERUFI Q
Mwenye jina linaloanzia na herufi Q ni mtu mwenye kupenda mambo ya asili. Ni watu wasiyoelezeka nawana uwezo wa kuonyesha vitu visivyojulikana hata hivyo ni mtu aliyepooza sana.

HERUFI R
Mwenye jina linaloanzia na herufi R ni mtu mwenye uvumilivu, wenye huruma lakini ana hasira za haraka. Muda wote anakuwa mpenda amani.

HERUFI S
Mwenye jina linaloanzia na herufi S ni mtu mwenye mvuto mkali wa kuleta utajiri. Ni watu wenye maamuzi ya ghafla na hupenda mageuzi makubwa.

HERUFI T
Mwenye jina linaloanzia na herufi T ni mtu mwenye kupenda ushauri wa kiroho, anatumia nguvu za ziada kusaidia watu na hupata mafanikio baada ya muda mrefu. Ni watu wenye hisia kali sana na ni wepesi kushawishika.

HERUFI U
Mwenye jina linaloanzia na herufi U ni mtu mwenye bahati kubwa kwa ujumla. Anapenda uhuru katika mapenzi. Lakini ni mtu mbinafsi, mwenye tamaa na aliyekosa maamuzi.

HERUFI V
Mwenye jina linaloanzia na herufi V ni mtu Mchapakazi, wenye bidii na asie choka. Hata hivyo ni watu wasiotabirika.

HERUFI W
Mwenye jina linaloanzia na herufi W ni mtu muwazi, wachangamfuu kupita kiasi na mwenye uwezo wa kutambua mtu mwema na mbaya. Ni watu wenye tamaa na hufanya mambo ya hatari.

HERUFI X
Mwenye jina linaloanzia na herufi X ni mtu asiyependa kuwekewa vizuizi katika kwenye anasa na ni rahisi kujiingiza kwenye uzinzi na kujitoa uaminifu.

HERUFI Y
Mwenye jina linaloanzia na herufi Y ni mtu mwenye kupenda Uhuru na hawapendi kupingwa jambo lao lolote. Ni watu wanaokosa uamuzi na husababishia kupoteza bahati katika maisha.

HERUFI Z
Mwenye jina linaloanzia na herufi Z ni mtu mwenye kupenda matumaini na amani. Ni wenye msimamo mkali ila wanashauriwa kufikiria kabla ya kuamua jambo.

Bongo Movie Kuna nini?

Nasikitika kutangaza kwa mara ya kwanza habari ya kifo cha Msanii wa bongo movie anyetambulika kwa jina la Recho Haule amefariki dunia alfajili ya leo baada ya siku za nyuma kujifungua kwa operesheni hivyo hali yake kuwa mbaya na kulazimika kulazwa (ICU) hadi kumkuta umauti mungu amlaze mahali pema peponi Ameni.